Waamuzi wa Tanzania Ahmed Arajiga, Frank Komba, Hamdani Said na Elly Sasii wameteuliwa na CAF kuwa Waamuzi watakaochezesha mchezo wa Kufuzu AFCON 2025, Cameroon vs Zimbabwe utakaochezwa Novemba 19,2024
AHMED ARAJIGA APEWA MCHEZO WA KUFUZU AFCON 2025, CAMEROON VS ZIMBABWE
