HII HAPA RATIBA LIGI KUU BARA

LIGI Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea kwa mara nyingine tena mzunguko wa kwanza msimu wa 2024/25 ambapo kuna viwanja vitatu vitakuwa kwenye mtafutano wa pointi tatu. Ikumbukwe kwamba mabingwa watetezi wa ligi ni Yanga wao watakuwa na kazi Oktoba 26 kusaka pointi tatu dhidi ya Coastal Union ya Tanga. Oktoba 25 2025 hizi hapa mechi…

Read More

MASTAA HAWA SIMBA OUT KUIKOSA NAMUNGO

KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC, Mwenge saa 10:00 jioni kuna mastaa wa Simba zaidi ya wawili ambao wataukosa mchezo huo kutokana na kutokuwa fiti. Ikumbukwe kwamba Jean Ahoua, Yusuph Kagoma na Abdulazack Hamza ambayr ni beki  hawa wote walikosekana mchezo dhidi ya Tanzania Prisons, Uwanja wa Sokoine walipata…

Read More

FOUNTAIN GATE WATUMA UJUMBE HUU BLACK STARS

ISSA Liponda, maarufu kama Issa Mbuzi, Ofisa Habari wa Fountain Gate ameweka wazi kuwa watawanyamazisha wapinzani wao Singida Black Stars katika mchezo wa Ligi Kuu Bara. Oktoba 25 Fountain Gate itakuwa Uwanja wa Liti kusaka pointi tatu mbele ya Singida Black Stars unaotarajiwa kuchezwa saa 8:00 mchana na utakuwa mubashara Azam TV. Ipo wazi kuwa…

Read More