TANZANIA PRISONS V SIMBA NGOMA UWANJANI

FT: Tanzania Prisons 0-1 Simba

Goal Che Malone

WANAUME 22 wapo Uwanja wa Sokoine wakisaka pointi tatu kwenye mchezo wa ligi wenye ushindani mkubwa ikiwa ni msimu wa 2024/25.

Tanzania Prisons imewakaribisha Simba kwenye mchezo wa ligi ambapo timu ya Simba mchezo uliopita ilipoteza dhidi ya Yanga na Prisons ilipoteza mbele ya Azam FC.

Ilikuwa mubashara Azam TV

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, kukipata 0756 028 371. Ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.