BALEKE: NITACHEZA YANGA BADO KAZI IPO
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Jean Baleke ameweka wazi kuwa bado kazi ipo kwenye ligi na atacheza mechi nyingi kwa kuwa ligi inaanza na benchi la ufundi lina hesabu zake. Ipo wazi kwamba Balake ni ingizo jipya ndani ya Yanga aliwahi kucheza kikosi cha Simba msimu wa 2023/24 na alifunga jumla ya mabao 8 kabla kukutana na…