>

ARSENAL NAO SIO HABA WANAENDELEA WALIPOISHIA

Klabu ya Arsenal wameonekana kuuanza msimu huu kama ambavyo walimaliza msimu uliomalizika kwani klabu hiyo ni moja ya vilabu ambavyo vinafanya vizuri kunako ligi kuu ya Uingereza wakikamata nafasi tatu kwenye msimamo.   Arsenal mpaka sasa hawafanikiwa kupoteza mchezo hata mmoja kunako ligi kuu ya Uingereza kwenye michezo saba ambayo klabu hiyo imecheza, Kwani mpaka…

Read More