YANGA KIMATAIFA YAPANGWA NA TP MAZEMBE

KIKOSI cha Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi kilikuwa Pot 2 na timu za CR Belouizdad, Yanga na Pyramids. Pot 1 lilikuwa na Al Ahly, E.S.T Tunis, MSFC na TP Mazembe. POT 3 ilikuwa Al Hilal ya Sudan, Orlando Pirates ya Afrika Kusini, GDSE, ASFAR. Pot 4 ilikuwa na MC Alger, Maniema Union, Djoliba…

Read More

HAWA HAPA WAPINZANI WA SIMBA KIMATAIFA

DROO ya Kombe la Shirikisho imepangwa nchini Misri ambapo wawakilishi kwenye anga hilo kutoka Tanzania ni Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Simba imepangwa kundi A na ilikuwa POT 1 lililokuwa na Zamalek, RS Berkane, Simba, USM Alger ambazo hizi hazitakuwa pamoja kwenye makundi na POT 2 lilikuwa na ASEC Mimosas, Stade Malien, Al…

Read More

BACCA ANATAKA KUFUNGA KILA MECHI

BEKI wa kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi Ibrahim Bacca amesema kuwa mpango mkubwa ni kuona kwamba anafunga kila mechi. Nyota huyo alifungua akaunti ya mabao kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ken Gold uliochezwa Uwanja wa Sokoine akitumia pasi ya Aziz Ki ambaye kwenye mchezo huo alipiga faulo nje…

Read More

MIGUEL GAMONDI REKODI ZAKE HIZI HAPA

YANGA inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi baada ya kucheza mechi nne ambazo ni dakika 360 imekomba ushindi mechi zote za Ligi Kuu Bara. Ipo wazi kwamba Yanga ni mabingwa watetezi wa taji la ligi walitwaa msimu wa 2023/24 walipomaliza msimu wakiwa na pointi 80 kibindoni baada ya kucheza mechi 30. Kwa msimu wa 2024/25…

Read More

HIZI HAPA ZA MWAMBA FADLU REKODI ZAKE

KIKOSI cha Simba chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids ni mechi tano kimeshuka uwanjani ndani ya Ligi Kuu Bara ambazo ni dakika 450. Katika mechi hizo ushindi mechi nne Simba ilipata kwa kukomba pointi tatu mazima ambazo ni 12 ndani ya uwanja na iliambulia sare mchezo mmoja. Ikumbukwe kwamba kwenye sare hiyo ya kufungana mabao…

Read More