>

HII NI RAMANI MPYA YA MO SIMBA ARENA

“Hii ni ramani mpya ya Mo Simba Arena. Mradi mkubwa ambao utaweka msingi wa mafanikio yetu baadae. “Tunatarajia kujenga kambi bora ya mazoezi, viwanja vitano vya kisasa, sehemu za kuongelea , makumbusho ya Simba na kuweka kituo cha kisasa kwa ajili ya kuibua vipaji”- Mohammed Dewji ‘Mo’. Mo ameongeza kuwa kufanikiwa yote hayo lazima kuwepoa…

Read More

MURTAZA MANGUNGU AMPONGEZA MO DEWJI KWENYE MKUTANO MKUU 2024

“Tunakushukuru Rais wa Simba, Mohammed Dewji kwa hotuba nzuri. Pamoja na kusisitiza wanachama na wapenzi wa Simba kwenda viwanjani kuiunga mkono timu yao kadhalika tunawasisitiza sana umuhimu wa kutumia bidhaa zinazotokana na wadhamini wetu.” “Tunafikia hatua ya mwisho ya mabadiliko lakini mabadiliko yoyote lazima yatakuwa na maumivu nadhani tuvumilie ili tumalize haya yote kwa pamoja.”…

Read More

MO DEWJI: KUJENGA UPYA SIMBA KUMEKUWA NA GHARAMA KUBWA

“Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kutufikisha wote hapa na kwa niaba ya Wanasimba wote naomba kumpongeza Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu kwa uongozi wake bora na mchango wake mkubwa wa kuendeleza michezo nchini.” “Hii ni safari ya pamoja na kwa pamoja tutafanikisha maono makubwa. Katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita Simba Sports Club imepata…

Read More