>

SIMBA V COASTAL UNION, KMC MWENGE

FT: Uwanja wa KMC, Mwenge

Mchezo wa Ligi Kuu Bara

Simba 2-2 Coastal Union

Zimbwe goal dakika ya 26

Ateba penalti dakika ya 38

Abdalah Hassan goal dk 47

Hernest Malongo dk 72.

 

Msako wa pointi tatu Uwanja wa KMC Mwenge Oktoba 4 2024 ni kati ya Simba dhidi ya Coastal Union ya Tanga ndani ya dakika 90.

Rekodi zinaonyesha kwamba Simba na Coastal Union kwenye mechi 10 za hivi karibuni ndani ya ligi ni ushindi mechi 8 ilipata na sare ilikuwa ni 2 kwa timu zote mbili.

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka,mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu, kukipata 0756 028 371.