KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids kina kazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya Coastal Union kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC, Complex Mwenge.
Rekodi zinaonyesha kuwa kwenye mechi 10 ambazo wamekutana hivi karibuni ushindi kwa Simba ni mechi 8 na walitoshana nguvu kwenye mechi mbili ambazo ni dakika 180.
Kkosi cha Simba ambacho kitaanza kipo namna hii:-Mussa Camara
Mohamed Hussen
Shomari Kapombe
Abdalazack Hamza
Che Malone
Okejapha
Mutale
Fernandez
Ateba
Ahoua
Kibu Mkandaji
Kwa wachezaji waliopo akiba ni :-Ally, Kijili, Chamou, Ngoma, Awesu, Mukwala, Balua,Shadrack, Benjamin
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo.