SportsMITAMBO YA KAZI KARIAKOO DABI HII HAPA Saleh2 months ago01 mins JOTO ya Kariakoo Dabi imeanza fukuto lake ambapo mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Oktoba 19 kwa watani wa jadi kukutana uwanjani kusaka pointi tatu muhimu. Hapa ni baadhi ya mitambo ya kazi ya Simba na Yanga kuelekea Kariakoo Dabi. Post navigation Previous: YANGA YAONGOZA MBELE YA PAMBA JIJINext: SIMBA KUWAKABILI COASTAL UNION, MASHINE ZA KAZI ZAREJEA