FT: UWANJA: Azam Complex
Ligi Kuu Bara
Yanga 4-0 Pamba Jiji
Goal Bacca dakika ya 4
Aziz Ki penalti dakika ya 45
Maxi Nzengeli dakika ya 54
Kenedy Musonda dakika ya 84.
Beki wa Yanga Ibrahim Bacca ana jambo lake baada ya kufunga bao la pili mfululizo kwenye mechi mbili za ligi.
Mbele ya Ken Gold alifunga bao la ushindi dakika ya 14 kwa pasi ya Aziz Ki, leo Oktoba 3 kapachika bao mapema dakika ya 4 kwa pasi ya Maxi Nzengeli.
Yanga inayodhaminiwa na SportPesa inaongoza kwa mabao mawili dhidi ya Pamba Jiji inayodhaminiwa na GSM.
Bao ma pili limefungwa na Aziz Ki kwa mkwaju wa penalti iliyosababishwa na Jean Baleke dakika ya 45, Uwanja wa Azam Complex.