SportsSIMBA: UBAYA UBWELA UNAZIDI, YATUPA DONGO YANGA Saleh2 months ago2 months ago01 mins AHMED Ally, Meneja wa Habari Simba ameweka wazi kuwa wanaosema kuwa wanafanya malipo ili wasemwe vizuri hilo sio kweli huku akibainisha kuwa nyota wao Jean Ahoua akizidi kuwa bora kila wakati kutokana na ubora alionao. Post navigation Previous: KMC: TUNA HASIRA KUPOTEZA MBELE YA YANGANext: KMC KUIMARISHA SAFU YA USHAMBULIAJI