BETPAWA YATUMIA 69.3 MILIONI KUKAMILISHA UJENZI WA ZAHANATI NANGOMA, MTWARA
KAMPUNI ya michezo ya kubashiri ya betPawa imetumia jumla ya Sh 69.3 millioni kukamilisha ujenzi na uboreshwaji wa zahanati ya kijiji cha Nangomba ya mkoani Mtwara. Fedha hizo zimetimika katika ujenzi, uboreshaji na upanuzi wa zahanati hiyo kupitia programu ya Dream Maker yenye lengo la kusaidia kutatua changamoto mbalimbali katika jamii nchini. Meneja Masoko kanda…