SIMBA: AZAM FC HAWAWEZI KUTUTISHA, TUNAOGOPESHA AFRIKA
UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa wapinzani wao Azam FC ndani ya Ligi Kuu Bara hawawezi kuwatisha kwa kuwa wao wenyewe wanaogopesha Afrika. Ipo wazi kwamba Simba ndani ya ligi ni mechi mbili imecheza ikishinda mechi zote ndani ya dakika 180 msimu wa 2024/25 ikiwa imekusanya jumla ya pointi sita kibindoni. Azam FC ni mechi nne…