>

JEAN AHOUA, LEAN ATEBA BADO HAWAJAFIKIA UBORA, WATALIA SANA

AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba ameweka wazi kuwa bado kiwango cha Simba hakijafikia asilimia inayotafutwa ambapo kila mchezaji hajafikia asilimia ikiwa ni pamoja na Leonel Ateba, Jean Ahoua huku akizungumzia na hali ya Yusuph Kagoma ambaye bado hajawa kwenye ubora wake. Simba hii bado yaani nyeupee kabisa itakuwa hatari.