
GANZI YA MAUMIVU KWENYE UPENDO YAPIGA HODI KIGAMBONI
RASMI ile simulizi ya Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo iliyopata nafasi ya kutoka kwenye gazeti la Championi Jumatano na kusomwa na zaidi ya Watanzania milioni sasa inapiga hodi Kigamboni mji ulitulia huku amani ikizidi kutawala kila kona. Ikumbukwe kwamba hii ni simulizi ya kwanza kuwa kwenye mfumo wa kitabu imeandikwa na Mtunzi Lunyamadzo Myuka, A…