FEISAL ANAFANYA KILE AKIPENDACHO
KIUNGO wa Azam FC inayotumia Uwanja wa Azam Complex kwenye mechi za nyumbani anafanya kile apendacho uwanjani kwa vittendo kutokana na kazi yake kuonekana ndani ya dakika 90 kwenye mechi ambazo anacheza. Ndani ya Azam FC, Feisal Salum ni namba moja kwa watengeneza pasi za mwisho akiwa ametengeneza jumla ya pasi tatu za mabao kati…