>

MZIZIMA DABI AZAM FC V SIMBA BALAA ZITO UWANJANI

FT;Azam FC 0-2 Simba

Fabrince Ngoma goal dakika ya 47

Leonel Ateba goal dakika ya 13 ndani ya 18

 

Kiungo Idd Nado alikutwa kwenye mtego wa kuotea dakika ya 25 huku mwamba Feisal Salum jaribio lake la dakika ya 29 likigonga mwamba na kurejea uwanjani.

Mzizima Dabi ni balaa zito Uwanja wa New Amaan Complex ambapo timu zote zinapambana kusaka pointi tatu muhimu ndani ya dakika 90.

Mwamuzi wa kati ni Elly Sassy ambaye anatafsri sheria 17 za mpira kwa wababe hawa wawili uwanjani wakivuja jasho la kazi.

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi Kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, kukipata 0756 028 371.