
MZIZIMA DABI AZAM FC V SIMBA BALAA ZITO UWANJANI
FT;Azam FC 0-2 Simba Fabrince Ngoma goal dakika ya 47 Leonel Ateba goal dakika ya 13 ndani ya 18 Kiungo Idd Nado alikutwa kwenye mtego wa kuotea dakika ya 25 huku mwamba Feisal Salum jaribio lake la dakika ya 29 likigonga mwamba na kurejea uwanjani. Mzizima Dabi ni balaa zito Uwanja wa New Amaan…