
SIMBA HAWANA HOFU NA AZAM FC
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa hawana hofu na wapinzani wao kwenye mchezo wao wa Mzizima Dabi ambao unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Simba imecheza mechi mbili ndani ya Ligi Kuu Bara ambazo ni dakika 180 na kupata ushindi kwenye mechi zote hizo huku Azam FC ikicheza mechi nne ambazo ni dakika…