>

KITABU CHA ‘GANZI YA MAUMIVU KWENYE UPENDO’ RASMI KIPO MTAANI SASA

RASMI Kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ambacho kimeegemea kwenye maisha halisi ya Kiafrika kikiwa na simulizi inayogusa maisha ya wengi, kipo mtaani kuanzia sasa. Usipange kukosa nakala yako kwa ajili ya kulisha chakula ubongo kuhusu suala la maamuzi na kuchanganya mambo mawili wakati mmoja, athari za madawa ya kulevya, elimu, visasi na upendo….

Read More

ONDOKA NA MKWANJA LEO KWA KUPIGA PENALTIES

Shinda mkwanja wako kiurahisi leo kwa kupiga Penalty tu kupitia mchezo wa kasino wa Beach Penalties, Mchezo huu unaweza kukupatia kiuwepesi kabisa kwani unapiga penalty zako za ushindi halafu unaibuka na ushindi.   Kwa kila pigo moja lina odds zake za ushindi ambazo zitajumlishwa na dau lako uliloweka kuchezea, kama ulikuwa una waza ni mchezo…

Read More