AZAM FC MOTO HAUZIMI, MCHEZAJI BORA KATUPIA BAO LA KALI
MATAJIRI wa Dar, Azam FC moto hauzimi baada ya kupata ushindi kwenye mchezo wao wa kwanza dhidi ya KMC Uwanja wa KMC Mwenge kasi yao imeendelea kwa mara nyingine mbele ya Coastal Union ya Tanga. Azam FC ilicheza mechi mbili mfululizo bila kupata ushindi ilikuwa JKT Tanzania 0-0 Azam FC, Azam FC 0-0 Pamba Jiji…