SIMBA YAFANYA KWELI KWA MKAPA, MABULULU MAJANGA
USHINDI wa mabao 3-1 waliopata Simba mbele ya Al Ahli Tripoli unawapa tiketi ya kutinga hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika wakikomba milioni 15 za goli la mama. Al Ahli Tripoli walianza kupachika bao dakika ya 16 kupitia kwa Cristovao Mabululu ambaye alionyeshwa kadi nyekundu dakika ya 90 Simba mabao yamefungwa na Kibu Dennis…