NADO MZEE WA REKODI NDANI YA AZAM FC
MWAMBA Idd Suleiman Nado ni mzee wa rekodi ndani ya Azam FC kwenye msimu mpya wa 2024/25 ambao umeanza kwa ushindani mkubwa na timu hiyo ilipata ushindi kwenye mchezo wake wa tatu baada ya kucheza dakika 180 bila kupata pointi tatu. Ikumbukwe kwamba Nado ni mchezaji wa kwanza kupiga kona katika kikosi hicho ilikuwa Agosti…