AZAM FC YAIPIGIA HESABU KMC
UONGOZI wa Azam FC umebainisha kuwa upo tayari kwa mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC kutokana na maandalizi waliyofanya na wanahitaji pointi tatu muhimu. Ikumbukwe kwamba kwenye mechi mbili za Ligi Kuu Bara msimu wa 2024/25 Azam FC haijafungwa wala kufungwa ndani ya dakika 180 walizocheza mechi za ushindani uwanjani. Hasheem Ibwe,…