AZAM FC YATAJA SIFA YA TIMU DHAIFU, FEISAL KUONDOKA

HASHEEM Ibwe, Ofisa Habari wa Azam FC ameweka wazi kuwa moja ya sifa ya timu dhaifu ni kufungwa kwenye mechi ambazo wanacheza na kuna timu ambazo zitakutana na timu ngumu ambazo zinacheza kwa kasi hivyo wao wapo na hawawezi kula mali ya yatima.Kuelekea kwenye mchezo wao dhidi ya Mzizima Dabi watafanya kazi kubwa.