SIMBA YASHANGAZWA NA WAARABU, KULIPA KISASI KWA MTINDO HUU
BENCHI la ufundi la Simba limebainisha kwamba limeshangazwa na vitendo vilivyofanyika na mashabiki wa Al Ahli Tripoli kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika huku wakipanga kulipa kisasi kwa mtindo wa kipekee ndani ya uwanja. Ikumbukwe kwamba timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids, Septemba 15 ilikuwa na kazi kusaka ushindi ugenini baada ya…