YANGA YASHINDA UGENINI, TATIZO LIPO HAPA
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika Yanga karata yao ya kwanza katika hatua ya pili wameibuka na ushindi ugenini kwenye mchezo wao uliochezwa Ethiopia. Licha ya timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi kwa kushuhudia ubao ukisoma CBE SA ya Ethiopia 0-1 Yanga bado kuna kazi kubwa ambayo benchi la ufundi litakwenda…