>

SAKATA LA YUSUPH KAGOMA NA YANGA, MBELE YA KAMATI YA SHERIA NA HADHI ZA WACHEZAJI TFF LEO

YANGA wamewasilisha nyaraka mbili muhimu kwenye shauri linaloendelea la kimkataba kati yao na Mchezaji Yusuph Kagoma pale TFF. Yanga kabla ya kuongea na Mchezaji waliwasiliana na Fountain Gate juu ya uwezekano wa kumpata Mchezaji huyo ambapo Fountain walitoa ruhusa ya mazungumzo kufanyika ambapo baadae wakasaini rasmi SALES AGREEMENT (Makubaliano ya mauzo) walisaini MACHI 27, 2024….

Read More

SIMON MSUVA KUCHEZA ULAYA

NYOTA Simon Msuva anakwenda kuanza maisha mapya Ulaya katika timu iliyopo Jamhuri ya Iraq huko Asia wa msimu wa 2024/25. Msuva ni miongoni mwa wachezaji wenye uwezo mkubwa uwanjani huku siri kubwa ikiwa ni mazoezi amekuwa akipenda kuona timu ya taifa ya Tanzania inapata matokeo mazuri kwenye mechi zote ambazo inacheza. Katika mchezo uliopita wa…

Read More

NYOTA YANGA NJE MIEZI MITATU

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi watakosa huduma ya kiungo wao wa kazi Farid Mussa. Ikumbukwe kwamba Yanga ilitwaa taji hilo la ligi msimu wa 2023/24 na ilimaliza ligi ikiwa namba moja na pointi 80 kibindoni baada ya kucheza mechi 30 za ligi. Ni Farid Mussa atalazimika kuwa…

Read More