MOROCCO: TUMECHEZA NA TIMU NGUMU, HAIKUWA RAHISI
BAADA ya timu ya taifa ya Tanzania , Taifa Stars kutoshana nguvu na timu ya taifa ya Ethiopia katika mchezo wa kuwania kufuzu AFCON 2025 Hemed Morocco, Kaimu Kocha Mkuu wa Stars amesema kuwa wamecheza na tim ngumu hivyo haikuwa rahisi kupata matokeo mazuri. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa Septemba 4…