TUZO YA SIMBA YATOLEWA UFAFANUZI
BAADA ya Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids kuchaguliwa kuwa kocha bora ndani ya Agosti 2024 na Jean Ahoua kuchaguliwa kuwa mchezaji bora wa Agosti, uongozi wa Simba umetoa ufafanuzi kuwa kwa namna yoyote ile ilikuwa ni lazima watwae tuzo hiyo kutokana na rekodi zilizoandikwa. Ipo wazi kuwa baada ya mechi mbili msimu wa 2024/25…