>

TAJIRIKA LEO KUPITIA UEFA CHAMPIONS LEAGUE

Unaweza kutajirika kibabe leo kupitia michuano ya ligi ya mabingwa ulaya ambapo itashuhudia michezo kadhaa mikali ikichezwa, Ambapo itatoa fursa kwa mteja wa Meridianbet kuweza kunyakua kitita kupitia michezo hiyo. Mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet wenyewe wanakuambia mwaka huu ligi ya mabingwa ulaya hakuna unyonge, Kwani wamehakikisha wanamwaga Odds za kutosha kwenye michuano hii…

Read More

SIMBA YASHANGAZWA NA WAARABU, KULIPA KISASI KWA MTINDO HUU

BENCHI la ufundi la Simba limebainisha kwamba limeshangazwa na vitendo vilivyofanyika na mashabiki wa Al Ahli Tripoli kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika huku wakipanga kulipa kisasi kwa mtindo wa kipekee ndani ya uwanja. Ikumbukwe kwamba timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids, Septemba 15 ilikuwa na kazi kusaka ushindi ugenini baada ya…

Read More

DUBE ANA HATARI UWANJANI, GAMONDI KUMSUKA UPYA

NYOTA mpya wa Yanga, Prince Dube ana balaa zito ndani ya kikosi cha Yanga kwenye mechi ambazo anacheza licha ya kushindwa kufunga mabao mengi katika nafasi anazopata huku benchi la ufundi likibainisha kwamba wanasuka upya safu ya ushambuliaji kuongeza makali uwanjani. Ipo wazi kwamba kuna vita kubwa eneo la ushambuliaji Yanga ikiwa kuna Clementย  Mzize,…

Read More

BAYERN, MADRID, LIVERPOOL KUKUPATIA MAPENE LEO

UEFA leo hii moto utawaka vibaya sana ambapo timu kutoka Mataifa mbalimbali yatashuka dimbani kusaka pointi tatu muhimu kwenye mechi zao leo. Je beti yako unaiweka wapi leo? Mapema kabisa saa 1:45 usiku Juventus chini ya Thiago Motta watakuwa wenyeji wa PSV kutoka kule Uholanzi ambapo nafasi ya kushinda mechi hii ndani ya Meridianbet akipewa…

Read More

DIDDY COMBS AKAMATWA NEW YORK CITY

Mwanamuziki mkongwe wa miondoko ya Hip-Hop na R&B wa Marekani ambaye pia ni mtayarishaji na mwandishi wa muziki, Sean “Diddy” Combs amekamatwa katika jiji la New York kwa mashtaka ambayo hayajabainishwa. Kukamatwa kwa Diddy Manhattan kunafuatia uvamizi wa mali zake mbili huko Los Angeles na Miami mnamo Machi kama sehemu ya uchunguzi unaoendelea wa mamlaka…

Read More

WAKIMATAIFA KAZINI SEPTEMBA

WAKIMATAIFA katika Ligi yaย  Mabingwa ambao ni Yanga chini ya Kocha Mkuu Miguel Gamondi watakuwa na kazi ya kusaka ushindi wakiwa nyumbani kusaka tiketi ya kutinga hatua ya makundi. Ikumbukwe kwamba kwenye mchezo uliopita wakiwa ugenini ubao ulisoma CBE SA 0-1 Yanga bao la ushindi likifungwa na Prince Dube dakika ya 45 akitumia pasi ya…

Read More

FANYA YAFUATAYO HUTAJUTIA, UNAPOCHEZA KASINO

Promosheni ya Expanse Kasino ya Mtandaoni bado inaendelea na sasa wachezaji wote wanaweza kujishindia zawadi ya Mamilioni na bonasi za kasino kibao. Jisajili na Meridianbet kisha ucheze michezo ya Kasino ya Mtandaoni kutoka Expanse. Promosheni hii inatoa Tsh 1,100,000/= ikiwemo bonasi za kasino kibao. Kuna michezo mingi ya kasino na Sloti ambayo inaweza kukufanya kuwa…

Read More