MUTALE MAMBO BADO NDANI YA SIMBA

INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids, kuna uwezekano akakosekana kwenye mchezo ujao wa ligi. Ni nyota Joshua Mutale yeye kwa upande wake mambo bado kutokana na kutokuwa fiti kwa sasa wakati timu hiyo ikiwa kwenye maandalizi ya mchezo dhidi ya Fountain Gate. Nyota huyo alipata maumivu kwenye mchezo…

Read More

KUMBE! SIMBA WANASHINDA LAKINI HAWANA FURAHA

AHMED Ally, meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba ameweka wazi kuwa wanashinda lakini hawana furaha kwa kuwa bado wanatengeneza timu hiyo. Mchezo wa kwanza wa Simba katika Ligi Kuu Bara ilikuwa dhidi ya Tabora United uliochezwa Uwanja wa KMC, baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba 3-0 Tabora United kwa msimu wa 2024/25…

Read More

ISHU YA YANGA KUTOA MILIONI 216 KISA OKRA YAMUIBUA JEMBE

ANAANDIKA Jembe kuhusu ishu ya Yanga na Okra Magic. BAADA ya taarifa kueleza kuwa Yanga wanapaswa kumlipa mchezaji wao wa zamani Okra Magic kiasi cha milioni 216, mwandishi wa Habari za Michezo Tanzania Saleh Jembe ameweka wazi kuwa haifurahishi Yanga kuingia kwenye madeni yasiyo ya lazima kisa usajili wa furahisha genge. Jembe ameanza namna hii:…

Read More