
SIMBA YAANZA KWA USHINDI LIGI KUU BARA
SIMBA imeeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tabora United kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa Uwanja wa KMC, Mwenge. Huu ni mchezo wa kwanza kwa timu zote mbili ambapo Tabora United waliingia uwanjani kwa hesabu za kujilinda zaidi huku wakifaya mashambulizi kwa kushtukiza mbele ya Simba. Mabao yamefungwa na Che Malone dakika…