SIMBA YADAIWA KUNASA SAINI YA MSHAMBULIAJI RAIA WA CAMEROON LIONEL ATEBA

Simba imenasa saini ya Mshambuliaji Raia wa Cameroon Lionel Ateba (25),

Mwaka 2023 alikaribia Kujiunga na klab ya Yanga ila mambo hayakwenda sawa,

January 2024 klabu ya USM ilimsajili mshambuliaji Lionel Ateba kutoka Dynamo Douala FC ya Cameroon kwa mkataba wa miaka Miwili na nusu (hadi 2026),

Lionel amecheza michezo 23 katika klabu hiyo ya Algeria na kufunga magoli 3,

Takwimu zake akiwa USM Alger ??

?Ligi kuu
?Michezo 12
?Magoli 1
?Assist 2

?CAFCC
?Michezo 7
?Magoli 0
?Assist 2

?Coupe d’ Algerie
?Michezo 4
?Magoli 2
?Assist 2