
MANCHESTER CITY YATWAA NGAO YA HISANI KWA PENALTI 7-6 DHIDI YA MANCHESTER UNITED
Manchester City imetwaa Ngao ya Hisani England kufuatia ushindi wa penalti 7-6 dhidi ya Manchester United katika dimba la Wembley. Mchezo huo ulilazimika kuamuliwa kwa matuta baada ya dakika 90 za mchezo kumalizika kwa sare ya 1-1. FT: Man City 1-1 Man United (P 7-6) ⚽ Silva 88’ ⚽ Garbacho 92’ MATUTA: Man City: ❌…