AZAM FC WAMEANZA KUKUSANYA MAKOMBE
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wamerejea Dar mapema kabisa wakiwa na kombe walilotwaa Rwanda mbele ya Rayon Sports iliyowaalika ambapo siku hiyo ilikuwa rasmi kwa timu hiyo kufanya utambulisho wa wachezaji kuelekea msimu wa 2024/25. Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu Yusuph Dabo ilitwaa ubingwa wa Kombe ka Choplife baada ya kupata ushindi wa bao…