Mwimbaji maarufu wa Bongo Fleva, Rajab Abdul Kahali almaarufu Harmonize amechia wimbo wake mpya wa ‘Yanga Bingwa’ aliomshirikisha Haji Manara na wachezaji wa Yanga.
HARMONIZE – YANGA BINGWA (OFFICIAL YANGA ANTHEM)