MUASISI SIMBA DAY AFICHUA SABABU YA WAZO, MO NDANI KWA MKAPA
MUASISI wa Simba Day Hassan Dalaliambaye alikuwa mwenyekiti wa zamani wa timu hiyo ameweka wazi kuwa wazo lakuanzisha tamasha hilo lilikuja wakati wakiwa hawana hela kwa ajili ya kulipia Uwanja wa Bunju ambao kwa sasa unaitwa Mo Arena. Dalali amesema kuwa walikuwa hawana hela ya kulipa uwanja jambo ambalo likamfanya afikirie namna ya kupata fedha…