MSHAMBULIAJI WA MANCHESTER CITY AJIUNGA NA KLABU YA SEVILLA

Mshambuliaji wa zamani wa Manchester City na Leicester City, Kelechi lheanacho amejiunga na klabu ya Sevilla ya Uhispania kwa uhamisho huru.

lheanacho (27) raia wa Nigeria amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia klabu hiyo mpaka Juni 2026 na chaguo la kuongezeka mpaka 2027.