
AZAM FC YAZINDUA UZI MPYA 2024/25
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wamezindua uzi mpya kwa ajili ya msimu wa 2024/25 ambao ni bora kwelikweli ukiwa ni mtoko wa Dunia. Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu Bruno Ferry akishirikiana na Yusuph Dabo ina kibarua cha kupeperusha bendera ya Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kugotea nafasi ya pili kwenye msimamo….