
YANGA KAMILI KWA MECHI ZA KIMATAIFA AFRIKA KUSINI
NAHODHA msaidizi wa Yanga Dickson Job ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa mechi zote za kirafiki kimataifa ambazo watacheza nchini Afrika Kusini ikiwa ni mwendelezo wa maandalizi ya msimu wa 2024/25. Ipo wazi kwamba Job ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Miguel Gamondi anaingia kwenye orodha ya mchezaji wa kwanza kufunga bao ndani ya…