
MUTALE ANA KITU AKIJIBU ATAKUWA MKUBWA
LEGEND Saleh Ally Jembe ni miongoni mwa wale waliokuwa Misri kushuhudia maandalizi ya Simba kuelekea kwenye Ligi Kuu Bara 2024/25 Jembe amezungumzia mchezo mzima kwa kuandika namna hii:- Kisukuma Mutale, maana yake ni mkubwa, ila unatakiwa kuivuta kidogo Mutaale… Huyu Mutale wa Simba kiumbo si mkubwa lakini mambo yake ni makubwa na atakuwa gumzo ninaamini….