>

MAZOEZI YA YANGA AFRIKA KUSINI NI BALAA, KUKINUKISHA KESHO

Julai 28, 2024 Mabingwa wa Ligi Kuu Bara, Yanga wanaopeperusha bendera ya Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, wanatarajia kumenyana na Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kwenye mchezo maalumu wa kirafiki wa kimataifa ambapo mshindi atasepa na Kombe la Toyota.

Mechi hiyo inatajwa kuwa kipimo sahihi kwa Yanga kwa kuangalia uimara wa kikosi hicho ambacho kina maingizo mapya kadhaa ya wachezaji.

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Toyota mjini Bloemfontein, Afrika Kusini