YANGA YATAMBIA KIKOSI BORA

UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa una timu bora kwa sasa kutokana na usajili bora waliofanya kwa wachezaji wazuri na kuhakikisha wachezaji wenye uwezo wapo ndani ya timu. Ipo wazi kuwa Yanga msimu wa 2023/24 walitwaa taji la Ligi Kuu Bara, CRDB Federation Cup na iligotea hatua ya robo fainali kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Ali…

Read More

KAZI INAENDELEA HUKO MISRI, BENCHI LA UFUNDI LAWASILI

KUELEKEA msimu wa 2024/25 wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa tayari benchi la ufundi limewasili kambini kuendelea na maandalizi. Ipo wazi kuwa kwa sasa timu zote Bongo zipo kwenye maandalizi kuelekea msimu mpya unaosubiriwa kwa shauku kubwa, Yanga ambao ni mabingwa watetezi na Azam FC hizi zipo Bongo huku Coastal Union ikiwa…

Read More

MWAMBA JOHN BOCCO KUKIWASHA HUKU

MTAMBO wa mabao ndani ya uwanja John Bocco bado yupo sana uwanjani ambapo kwa msimu wa 2024/25 atakuwa ndani ya kikosi cha JKT Tanzania. Ipo wazi kwamba Bocco ni mshambuliaji bora wa muda wote ndani ya Bongo akiwa amefunga zaidi ya mabao 100 kwenye ligi alianza kucheka na nyavu akiwa na Azam FC, Simba na…

Read More