>

PIGA PESA NA MECHI ZA ROBO FAINALI ZA EURO LEO

Robo Fainali ya michuano ya EURO kuanza leo mapema kabisa saa moja ambapo timu nne kusaka nafasi ya kwenda nusu fainali leo. Ingia meridianbet weka jamvi lako na ubashiri nani kushinda leo. Vijana wa Luis Spain wataumana dhidi ya Germany ambao ndio wenyeji wa michuano hii majira ya saa moja usiku ambapo wakali wa ODDS…

Read More

WAZIRI MKUU AZINDUA KAMATI YA KITAIFA AFCON 2027

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Julai 05, 2024 amezindua Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) na kuahidi kuwa Serikali itafanya nayo kazi kwa karibu ili iweze kufanikisha malengo ya Tanzania kufanya vizuri kwenye michuano hiyo. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kamati hiyo kwenye hafla iliyofanyika katika hotel ya…

Read More

MTAMBO WA MABAO WATAMBULISHWA SIMBA

WAKIWA kwenye maboresho ya kikosi kuelekea msimu wa 2024/25 wamemtambulisha nyota mwingine ambaye ni mtambo wa mabao. Ni Simba iliyogotea nafasi ya pili kwenye msimamo msimu wa 2023/24 kwa sasa inafanya maboresho ambapo kwenye eneo la kiungo ipo wazi haitakuwa na Clatous Chama ambaye kaibukia ndani ya Yanga. Mchezaji mpya ambaye ametambulishwa Julai 5 ndani…

Read More

VIDEO: GERSON MSIGWA AFICHUA ZA NDANI KABISA – “RAIS SAMIA AMETOA MILIONI 100 KWA TAIFA STARS….

Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa @gersonmsigwa amesema kama taarifa kwamba Ligi Kuu ya Tanzania imeshika nafasi ya tano kwa ubora Afrika ni uhakika, basi sio jambo dogo hata kidogo. Msigwa amesema anawapongeza wanamichezo na wadau wote kwa jinsi walivyoweza kuiboresha ligi yetu na kuifanya kuwa ya ushindani mkubwa. Ameyasema…

Read More

AMETIMULIWA KAMBINI KISA MAMELODI

Gilberto ametimuliwa kwenye kambi ya timu ya taifa ya Angola kabla ya mechi yao ya kufuzu kwa Kombe la Dunia dhidi ya Eswatini na Cameroon kutokana na kuchelewa kuwasili kambini na bila kuomba ruhusa baada ya kuitwa Kwenye kikosi hicho Gilberto amekuwa akihusishwa Kwa ukaribi zaidi kutua MAMELODI huku pia Yanga wakitajwa Kwa mbaaaaliiiii.

Read More

TETESI: YANGA KUACHANA NA WACHEZAJI SITA

Klabu ya Yanga SC imepanga kuachana na Nyota wake 6 ambao ni Mghana Agustine Okrah, kiungo Mahlatse Skudu Makudubela kutoka Afrika Kusini, Mkongo Joyce Lomalisa, Zawadi Mauya, Metacha Mnata na Joseph Guede kutoka nchini Ivory Coast. Taarifa za ndani zinasema tayari wa Uongozi wa Yanga SC wamemaliza kuwaongezea mikataba nyota wote watakaosalia kikosini hapo kwa…

Read More

𝗦𝗔𝗕𝗔𝗕𝗨 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗖𝗛𝗘𝗟𝗘𝗪𝗔 USAJILI WA BOKA YANGA

Wing-back fundi Chadrack Boka (24) @chadrac.boka ndiye mchezaji wa 1 kusajiliwa na Yanga SC 24|25. Amesaini mkataba wa miaka miwili, kinachosubiriwa ni (ITC) yake pekee. Amechelewa kuwasili Nchini Tanzania kwa sababu klabu aliyotoka FC Lupopo haikutaka mchezaji huyo aondoke. FC Lupopo wanadai mchezaji huyo ni wao wamekiambia Chama cha soka Nchini DRC (FA) kisitume (ITC)…

Read More

CHEZA MICHEZO YA EXPANSE KASINO, UWE TAJIRI

Unawaza ni njia gani utaitumia kupiga pesa kirahisi, usiwaze Meridianbet Kasino ipo tayari kurudisha furaha yako kupitia shindano kubwa la kasino Expanse. Jisajili hapa na chagua mchezo wa kusakia utajiri. Meridianbet inatafuta washindi takribani 40, ambao watagawana mgao mkubwa wa Mamilioni, lakini sharti ni hadi wacheze michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka Expanse. ZAWADI ZIKOJE?…

Read More