
HAWA HAPA WAWAKILISHI KWENYE ANGA LA KIMATAIFA
HAWA hapa wawakilishi wa Tanzania kwenye anga la kimataifa, Yanga na Azam FC ni kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba na Coastal Union kwenye Kombe la Shirikisho Afrika.
HAWA hapa wawakilishi wa Tanzania kwenye anga la kimataifa, Yanga na Azam FC ni kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba na Coastal Union kwenye Kombe la Shirikisho Afrika.
Bado una nafasi ya kuendelea kuwa mshindi na kupiga mtonyo mrefu, kwa kushiriki promosheni ya Expanse ndani ya Meridianbet Kasino ya Mtandaoni. Ili upate mgao wako wa Mamilioni ni lazima uwe umejisajili Meridianbet, kisha ucheze michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni kutoka Expanse Studios. Kwenye Promosheni hii zawadi zinazotolewa ni nyingi, lakini washindi 40…
BONDIA Mtanzania, Hassan Mwakinyo amewaomba radhi mashabiki wake kwa sintofahamu iliyojitokeza usiku wa Ijumaa ya Mei 31, katika ukumbi wa Warehouse Masaki ambako alitarajiwa kupigana na Mghana, Patrick Allotey na jambo hilo kushindikana dakika za mwisho za usiku ule. Kutokana na sintofahamu hiyo, Mwakinyo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, amesema hakuna shida yoyote…
MABINGWA wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 Yanga wametembeza mkwara mwingine kwa kubainisha kwamba hesabu kubwa ni kutwaa taji la CRDB Federation mbele ya Azam FC. Ikumbukwe kwamba Yanga ni mabingwa watetezi wa taji hilo walitwaa mbele ya Azam FC kwenye fainali iliyochezwa Uwanja wa Mkwakwani kwa ushindi wa bao 1-0 huku mtupiaji akiwa…
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wamebainisha kwamba wapo tayari kwa mchezo wa fainali dhidi ya Yanga inayonolewana Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Azam FC inanolewa na Msenegal, Yusuph Dabo ambaye ameongoza kikosi hicho kumaliza kikiwa nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi. Ni pointi 69 wamekomba Azam FC baada ya kucheza mechi 30 mchezo wao wa…
MABINGWA watetezi wa CRDB Federation Cup, Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi wana jambo lao na Azam FC kwenye mchezo wa fainali. Ngoma inatarajiwa kuchezwa leo ndani ya dakika 90 katika msako wa mshindi mpya ikiwa ni mchezo wa funga msimu wa 2023/24. Ipo wazi kwamba Yanga wana taji la Ligi Kuu Bara walitwaa…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa utafanyia kazi makosa ambayo yamepita ili kurejea kwenye ubora wao kwa kuwa nyakati ambazo wamepita zimewaumiza. Ipo wazi kuwa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda imegotea nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi ikiwa na pointi 69. Imepishana na taji la ligi pamoja na Ligi ya Mabingwa Afrika…
BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo usiku wa kuamkia June 02, 2024 ameshinda Ubingwa wa WBO kwa TKO kwa kumpiga Bondia Mghana Patrick Allotey kwenye Ukumbi wa Warehouse uliopo Masaki, Dar es Salaam aliyeshindwa kuendelea na pambano round ya pili akidai ameumia bega. Pambano hilo lilipangwa kuchezwa June 01, 2024 lilishindwa kufanyika kwasababu…
REAL MADRID imetwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya KUMI NA TANO (15) kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi miamba ya Ujerumani, Borussia Dortmund kwenye fainali iliyopigwa katika dimba la Wembley, London. Borussia Dortmund walikuwa bora sana kipindi cha kwanza lakini walishindwa kuwaadhibu Mabingwa hao wa Uhispania kabla ya mambo kugeuka kichwa chini…
Kila siku mapambanao ya utafuutaji lazima yaendelee, na siku zote mtafutaji hachoki, kupitia Meridianbet kasino ya mtandaoni kuna promosheni ya Tsh Milion 400,000,000/= kwaajili yako wewe, mpenzi w michezo ya kasino, Expanse Tournament ni yako kwa ushindi mkubwa. Jisajili na Cheza Meridianbet Kasino. Katika promosheni hii unapokuwa unacheza mchezo wako pendwa wowote ule uliotengenezwa na…
KUELEKEA katika mchezo wa fainali ya CRDB Federation Cup Juni 2 2024 kati ya Yanga dhidi ya Azam FC, mabingwa watetezi wamegomea kulipa kisasi. Ipo wazi kuwa Yanga ni mabingwa watetezi wa taji hilo wanakumbuka walipokutana katika mchezo wa ligi mzunguko wa pili walipotoza kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Azam FC, Uwanja wa Mkapa….
Dimba la Wembley linalopatikana nchini Uingereza katika jiji la London litawaka moto leo kwani unaenda kupigwa mchezo wa kibabe wa fainali ya ligi ya mabingwa ulaya baina ya klabu ya Real Madrid dhidi ya klabu ya Borussia Dortmund. Klabu ya Borussia Dortmund wanarudi tena Wembley baada ya miaka 11 kupita kucheza fainali, Kwani mara ya…
BEKI wa kazi ndani ya FC Lupopo Chadrack Boka anatajwa kumalizana na mabosi wa Yanga kwa ajili ya kuwa ndani ya timu hiyo msimu wa 2024/25. Beki huyo mwenye miaka 24 raia wa DR Congo Yanga wanatajwa kumalizana naye mapema kwa ajili ya kuimarisha kikosi hicho kinachonolewana Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Ipo wazi kwamba Yanga…
KAMPUNI ya michezo ya kubashiri ya betPawa imewazawadia vifaa vya michezo timu mbalimbali za mkoa wa Mwanza ikiwa sehemu ya kuchangia maendeleo ya soka na amsha amsha ya mechi ya fainali ya Ligi ya Mabingwa ya UEFA kati ya Borussia Dortmund na Real Madrid itakayofanyika Jumamosi, Juni 1, 2024. Tukio hilo lililopewa jina la Soka…
AZAM FC wapo tayari Zanzibar kwa maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa fainali dhidi ya Yanga. Ni CRDB Cup inatarajiwa kuchezwa Juni 2 2024 Uwanja wa New Amaan Complex kwa kila timu kupambania taji hilo. Miongoni mwa wachezaji waliopo na kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu Yusuph Dabo ni pamoja na Feisal Salum, Jhonier Blanco…
BAADA ya Simba kupishana na mataji msimu wa 2023/24 ikiwa ni pamoja na Ligi Kuu Bara, CRDB Federation kuna mastaa ambao wapo kwenye hesabu za kuondoka hapo na wengine wameanza kuaga kwa wachezaji pamoja na viongozi ndani ya timu hiyo.