WAJANE WA CHAMAZI WAFIKIWA NA MERIDIANBET

Kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania , Meridianbet wamefika maeneo ya Mbagala Chamazi kwaajili ya kutoa msaada wa vyakula kwa wajane ambao wana uhitaji kwaajili ya kuendeleza maisha yao.

Kama tunavyojua kuwa kuwa mjane kwa namna nyingine huleta huzuni sana kwani mwanamke akiondokewa na mume wake yeye anakuwa ndio baba na ndio mama kama ana familia, hivyo anakuwa mzigo mkubwa kichwani kwake.

Basi Meridianbet kupitia siku ya wajane Duniani ambayo huadhimishwa Juni 22 wakaona kwanini wasiwashike mkono kwa kuwapelekea vyakula ikiwemo, Sukari, mchele, maharage, unga wa ugali na ngano na mahitaji mengine ya nyumbani.

Hii imekuwa ni kawaida ya wababe wa michezo ya kubashiri Tanzania, Meridianbet kuwaangalia watu wenye uhitaji na kuwasaidia kwa chochote kitu ili nao wajisikie faraja na wanakumbukwa.

Hivyo wakali wa ODDS KUBWA Tanzania wakaona isiwe tabu ngoja wafike Chamazi ili kuwashika mkono wajane hao ambao wana hali ngumu ya maisha kwani kurejesha kwa jamii ndio desturi ya Meridianbet.

Na wewe unaweza kupiga pesa leo hii kwa kubashiri mechi zinazoendelea Duniani kuna EURO na COPA AMERICA ambazo hizi zote zinakupa nafasi ya wewe kuwa Milionea. Vilevile unaweza kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Aviator, Poker, Roullette, na michezo ya Sloti.

Meridianbet baada ya kufika eneo la kutoa msaada walipokelewa vizuri mno na kina mama hao na waliwashukuru sana kwa kuwapelekea msaada wa vyakula ambavyo vitawasaidia kusukuma miezi.

Ndugu mteja kumbuka kubashiri mechi ya hatua ya 16 bora leo kati ya Uingereza dhidi ya Slovakia ambapo Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda Southgate kwa ODDS 1.42 kwa 8.82. Jisajili hapa.

Pia wajane hao walishukuru mno kwa kutembelewa na Meridianbet huku wakiwaomba kuwa warejee tena kutoa msaada wa vitu vingine kwani baada wanahitaji kushikwa mkono kwenye mambo mengi ikiwemo malazi.

Kutoa ni moyo na sio utajiri, nao wababe wa ubashiri, waliahidi kurejea tena wakati mwingine kwani zoezi la kurejesha kwa jamii kwao ni kawaida na hufanya mara kwa mara kila mwezi.