WAJANE WA CHAMAZI WAFIKIWA NA MERIDIANBET

Kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania , Meridianbet wamefika maeneo ya Mbagala Chamazi kwaajili ya kutoa msaada wa vyakula kwa wajane ambao wana uhitaji kwaajili ya kuendeleza maisha yao. Kama tunavyojua kuwa kuwa mjane kwa namna nyingine huleta huzuni sana kwani mwanamke akiondokewa na mume wake yeye anakuwa ndio baba na ndio mama kama ana familia,…

Read More

SIMBA DAY ITAKUWA NA BALAA KINOMANOMA

KUELEKEA Simba Day inayotarajiwa kufanyika Agosti 3 2024 uongozi wa timu hiyo umebainisha kuwa kutakuwa na balaa zito kinomanoma. Ikumbukwe kwamba Hassan Dalali aliyekuwa mwenyekiti wa Simba anaingia kwenye rekodi ya waasisi wa Simba Day ambayo ilikuwa ikifanyika ifikapo Agosti 8. Sababu kubwa ya Simba Day ni utambulisho wa benchi la ufundi, wachezaji wapya na…

Read More

BOSI YANGA AFICHUA JAMBO KUHUSU USAJILI

BOSI wa Yanga kwenye idara ya Habari na Mawasiliano, Ali Kamwe amefichua jambo kuhusu usajili wa timu hiyo kuelekea msimu wa 2024/25. Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa wanatambua namna ilivyo kwenye suala la usajili hawana presha bali watafanya kazi hiyo kwa umakini mkubwa. Tayari Yanga ina uhakika kuendelea na Kocha Mkuu…

Read More

YANGA BINGWA WA KOMBE LA SAFARI CUP

Klabu ya Young Africans Sc imeibuka bingwa wa kombe la #Safari Cup baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Safari Champions katika dimba la Benjamin Mkapa. FT: Safari Champions 1️⃣➖4️⃣ Yanga SC ⚽️ Omary Mfaume ⚽️ Shekhan ⚽️ Prosper ⚽ Hussein Safari Champions ni kikosi ambacho kilipatikana kupitia programu maalum iliyoendeshwa na…

Read More