MCHAKATO WA LAWI KWENDA SIMBA ULIKUWA HIVI

Beki Lameck Lawi alijiunga na Simba kwa mkataba wa miaka mitatu huku akiahidiwa kupewa Tsh 130,000,000,kama “Signing –On Fee” na pesa hiyo italipwa kwa awamu tatu.

Baada ya kusaini mkataba na Simba Lawi alipewa Tsh 100,000,000,kisha akaahidiwa kupewa Tsh 15,000,000 kwenye msimu wake wa pili na wa tatu.

Aidha kwenye mkataba wa Lawi na Simba kuna kipengele cha kumruhusu kwenda nje ya Tanzania kufanya majaribio na kama atafaulu vizuri basi Simba